Tuesday, 15 March 2016

Wanawake wa Kenya kuandamana kudai haki ya tendo la ndoa




Mwaka 2015 headline nyingi ziliandikwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari, ishu kubwa ikiwa ni wanawake wa Rombo ,Tanzania kukodi wanaume kutoka Kenya ili kufanya nao mapenzi kutokana na waume zao kuzidiwa na ulevi na kushindwa kufanya tendo hilo.
Sasa time hii mambo yamegeukia hukohuko Kenya, baadhi ya wanawake waliandamana kudai hawatimiziwi mahitaji ya ndoa.


No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...