Saturday, 16 July 2016

FURSA ZA KUFUNDISHA KISWAHILI MAREKANI

Je una Ndugu rafiki yeyote Mwenye degree Na Ni mwalimu wa lugha ya Kiswahili Tanzania? Kuna program Hii (Fulbright) ya kwanza ni Kwa ajili ya walimu wa lugha ya Kiswahili kuja Marekani kufundisha Kiswahili Na chuo kinakulipia kuchukua degree ya pili katika fani yeyote. If you know anybody let me know.

1.    https://eca.state.gov/fulbright/country/tanzania

2.    https://www.humphreyfellowship.org/how-apply-humphrey-fellowship-program


3.    https://exchanges.state.gov/non-us/program/community-solutions/applying

SAMBAZA UPENDO
ukiipata usiwe mchoyo

Kizuri kula na nduguyo

Friday, 15 July 2016

MWANAMKE FANYA HAYA KUOKOA NDOA YAKO.



1. Muite kwa jina lake la utani

2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.

3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.

4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha.

5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya hivyo.

7. Waheshimu wazazi wake.

8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

9. Msuprise kwa chakula akipendacho, hasa kipindi kile anapokuwa na msongo wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie chakula mume wako ukiwa nyumbani.

11. Mkaribishe kwa kumkumbatia anapotoka kwenye mihangaiko yake. Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

13. Mpigie simu na umwambie kwamba unampenda na umemkumbuka

14. Muamshe asubuhi na umpe romance kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe na hata jishughulisha na wanawake wengine siku hiyo.

15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

16. Mwambie ni kiasi gani una bahati kuwa nae kama mume wako.

17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu wako katika maisha yako.

19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi mikononi mwa Mungu.

20. Tengenezeni utaratibu wa familia nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.

Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya kweli leo na daima.

Na wasio serious na mahusiano wanaokupotezea muda wako wajikatae kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya kutimiza kusudi la Mungu kwako.

Kwanini tusiseme "Amen"!?

Nawatakia Weekend Njema.







KUNA TATIZO LA MAPENZI SHULENI? KWANINI SHULE ZILIZOFANYA VIZURI NI SINGLE SEX? TAZAMA KUMI BORA HAPA NA MATOKEO YOTE



SHULE BORA 2016 (KIDATO CHA SITA)
1. Kisimiri,-Arusha
2. Feza Boys,-Dar es Salaam
3. Alliance Girls,-Mwanza
4. Feza Girls,-Dar es Salaam
5. Marian Boys,-Pwani
6. Tabora Boys,-Tabora
7. Kibaha,-Pwani
8. Mzumbe-Morogoro
9. Ilboru,-Arusha
10.Tandahimba-Mtwara


SHULE ZILIZOFANYA VIBAYA SANA:
1. Mpendae-Unguja
2. Ben Bella-Unguja
3. Tumekuja-Unguja
4. Green Bird Boys-Kilimanjaro
5. Jang'ombe-Unguja
6. Kiembe Samaki-Unguja
7. Tanzania Adventist-Arusha
8. Al- Ishan Girls-Unguja
9. Azania-Dar es Salaam
10. Lumumba-Unguja

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...