Rais Magufuli atoa mpaka saa 12 leo jioni, Mawaziri 4 na Naibu waziri mmoja wawe wamerejesha fomu za maadili kwa Tume, wakishindwa watakuwa wamejifukuzisha
-Mawaziri hao ni Charles Kitwanga, January Makamba, Joyce Ndalichako, Agustine Mahiga na Luhaga Mpina.
No comments:
Post a Comment