Kampuni yake yahusishwa na ufisadi bandarini kwa upotevu wa makontena zaidi ya 3,000 yaliyotolewa bure bila kulipia ushuru bandarini.
Kigogo huyo mwenye nafasi ya juu na ushawishi mkubwa ndani ya CCM anamiliki shiping line na bandari kavu (ICD) iliyopo barabara ya Nyerere.
Ntakuletea taarifa kamili hapa muda si mrefu.
No comments:
Post a Comment