Thursday, 15 June 2017

ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

Menejiment ya Kampuni ya ACCACIA wameelea kuwa, hawajafikia makubaliano yoyote ya kuilipa TAnzania hata senti.Katika taarifa inayoonekana hapo juu,wanasema wamekubaliana kujadiliana na Tanzania kuhusu madai hayo na hawajafikia maamuzi yoyote.

No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...