Thursday, 4 August 2016

KARIBU UNUFAIKE NA TEKNOLOJIA KATIKA KIGANJA CHAKO,NI SIKU YA NANENANE



Kumekuwa na technology nyingi ambazo zimebadili na kurahisisha maisha yetu kwa kiwango cha juu sana mfano technologia ya TV,Mitandao ya kijamii,Internet(Google),online shopping,email na simu za mkononi.....technologia hizi mbali na kurahisisha maisha yetu zimezalisha millionaires wengi sana na hata billionaires...mfano wanaozimiliki kama kijana anayemiliki fb ni billionaire ndani ya 10 years tu....lakini pia waliowekeza kwenye hizi technologia...pia wengi ni mamalionaires...mfano hisa za amazon(online shop) sasa hivi ni zaidi ya dola 700 au 1.4ml tsh kwa hisa moja waliwekeza wapo wapi???? Tulio wengi tumeishia kuwa end users tu....mfano hatuna hisa Google,Facebook,yahoo,Apple,Samsung,au CNN lakini tunatumia Facebook,Google kila siku,tunatuma email kila etc..na tunamiliki TV majumbani na simu za mkononi....kwa kifupi end users.......Sasa kama vile ambavyo Internet ilileta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa taarifa.....sasa hivi kuna new brand technology iliyogundulika duniani iitwayo blockchain technology....hii technology inaenda kuleta mapinduzi katika ulimwengu wa fedha na maeneo mengi ya kibiashara kwa kiwango cha juu sana......sana....sasa tofauti na technology zilizopita hii inakupa nafasi ya kutokuishia kuwa end users tu bali kumiliki pia hii technology kwa kupitia kuwa mwekezaji katika hii technology....technology hii inakwenda kufanya utumaji na upokeaji wa pesa duniania kuwa kama utumaji na upokeaji wa email....yaani instant,fast na cheap.....this means soon majority kama si watu wote wataitumia hii technology na itakuwa sehemu ya maisha yetu kama ilivyo mitandao ya kijamii Leo au simu au TV au googling....Kujua namna ya kunufaika na Teknologia hii karibu sana Kwenye mkutano wetu utakao fanyika siku ya sikukuu ya Nane nane Arusha.
Ukumbi: Palace Hotel
Tarehe: 8.8.2016
Muda: Saa 9:00 jioni - 12:00jioni
Kiingilio: Tshs 5000
Kwa kujipatia ticket yako
Mawasiliano:
0785628265 - Violet

No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...