Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.
Jaribu kupitia link hii kusikiliza na kuona nyaraka http://www.jamiiforums.com/threads/waziri-wa-magufuli-january-makamba-katika-kashfa-nzito-ya-kifisadi.1017191/unread
No comments:
Post a Comment