Wednesday, 2 March 2016

HALIMA MDEE KAACHIWA HURU MUDA HUU,SOMA

Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzie wa nne wameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Kisutu baada ya kusomewa shitaka moja la kumjeruhi katibu tawala wa mkoa,kesi imeahirishwa mpaka March 16 Mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...