MSAFARA wa Waziri mkuu, Kassim Majaliwa umekumbana na nguvu ya wananchi pale uliposimamishwa na wafanyakazi wa Bohari ya kuhifadhi dawa (MSD) walipomtaka asimame ili wamweleza shida wanazokumbana nazo kutoka kwenye eneo lao la kazi.Anaadika KAROLI VINSENT endelea nayo.
Tukio hilo la aina yake limetokea leo Jioni maeneo ya Bohari ya MSD yaliyoko Mabibo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam,mara baada ya Waziri mkuu alipomaliza kupokea msaada wa Vifaa mbali mbali vya Hospitali kutoka kwa muungaiko wa Kampuni za vinywaji nchini,
Ambapo kwa mujibu wa Mwandishi wa Fullhabari.blogs aliyekuwepo eneo hilo amesema hali ya hiyo ilianza kutokea kabla ya Waziri mkuu ajafika eneo hilo ambapo anaeleza kuwa kundi la wafanyakazi wa Bohari hiyo walikuwa wamekusanyika huku wakibeba mabango mbali mbali yenye ujumbe wa kueleza mambo wanayofanyiwa Boharini hapo.
No comments:
Post a Comment