Tuesday, 1 March 2016

ULISHANGAA YA UMEYA DAR? HUU NDIO UMAFIA UNAOENDELEA KILOMBERO MUDA HUU




Kuna shida kubwa Kilombero muda huu Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilombero...
Leo ndiyo siku uliopangwa kufanyika uchaguzi huo na hadi sasa Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali, dereva wake na dereva wa Mbunge Devotha Minja wamekamatwa na polisi.
Polisi ni wengi sana. Waandishi wa Habari wa baadhi ya vyombo vya habari, wamezuiwa kuingia wala kukaribia ukumbi unaotumika kupiga kura, isipokuwa wanaotoka Star Tv, TBC, Uhuru na Habari Leo.
Hakuna mwananchi anaruhusiwa kusogea. Halikadhalika wabunge wetu wamezuiwa kabisa kuvuka hata uzio uliowekwa. Polisi wamejaa kila mahali.
Upigaji wa kura unaendelea huko ukumbini.

AFISA HABARI WA CHADEMA toka Morogoro

No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...