Wednesday, 2 March 2016

MAAFISA WA GHALA LA CHAKULA ARUSHA WASIMAMISHWA

Maofisa watatu wa ghala la chakula la taifa wamesimamishwa kazi.

Wamesimamishwa kwa tuhuma za uuzaji mahindi ya msaada.

Maofisa hao wanafanya kazi katika ghala la Taifa la jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...