Thursday, 10 March 2016

KUWEKA PICHA YA MPEZI WAKO KWENYE PROFILE PICTURE,INA MAANA YOYOTE?

Habari,

Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.

Back to the Topic,..

Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c

Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?

Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?

Nawasilisha


No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...