Bonyeza Hapa --->>Ingia hapa chini kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha kwa watanzania kwa kusema habari za uogo.
Ms Odinga alikuwa akishiriki programu ya IYLA inayoandaa vijana kuwa viongozi wa baadae, katika kongamano hilo aliiambia dunia Olduvai Gorge ipo Kenya ambao ni uongo uliokithiri hivyo inabidi Rosemary awaombe msamaha watanzania.
No comments:
Post a Comment