Friday, 4 March 2016

KOREA KASKAZINI TAYARI KWA VITA MUDA WOWOTE

Kiongozi wa Korea ya Kaskazini amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiandaa kwa silaha zake za nyuklia kwa ajili ya kupambana na maadui.


Kiongozi huyo alisema wakati huu ambapo marekani inahamasisha vita kwa nchi nyingine wanapaswa kuziandaa silaha zao za nyuklia ili kuitetea north korea na uhuru wake.


Kiongozi huyo aliyasema hayo wakati akiwa katika shuhuli za kijeshi


Mpaka sasa haijulikani north korea imepiga hatua gani katika mpango wake wa silaha za nyuklia huku marekani wakiitaka korea ya kazkazini kuacha kuchochea uhasama wa kuchochea silaha za nyuklia.



No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...