Hatua ya mzungu wa Makamba ambaye ni muitaliano kumkaba ipasavyo Waziri wa mambo ya muungano ameonekana kuelemewa na tuhuma hizi.Siku nzima ya jana na leo Makamba amekuwa busy kujaribu kujitetea na kutumia mawakala wake kujibu shutuma hizo lakini baadhi ya ujumbe wa sauti na picha unaoendelea kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii bado unamkaba ipasavyo Makamba.Katika kile kinachoonekana ni mwiba mchungu kwa Makamba,leo mzungu huyo wa Italia kesho amepanga kukutana na waandishi wa habari wa ndani na wa nje kwa ajili ya kutoa kile anachokiita ni ushahidi wa namna Makamba alivyogeuka kuwa dalali wa rasiliamli za Tanzania kwa maslahi yake na wanafamilia wenzake.
Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG... Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla.... Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
jioni hii Makamba kaandika haya katika anuani yake ya Twitter.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...
-
Mithali 14: 1 “Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe”. Padre m...
-
Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza wakati mpiga pich...
-
Watoto wanne wa kike wenye umri wa miaka nane, wamebainika kubakwa na kunajisiwa kwa karibu mwaka mmoja huku vijana wawili wanaowafanyia vi...
No comments:
Post a Comment