Thursday, 10 March 2016

DIAMOND AFANYA KUFURU DUBAI

Msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania na nyota wa muziki kwa sasa katika Tanzania na Afrika kwa ujumla "Diamond" amechuma madolari mengi sana Dubai.Yeye hakupenda kusema ni kiasi gani lakini kayapiga picha na kuandika kimombo " See you next time Dubai" ni sheedah, yaone hapa


No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...