Tuesday, 1 March 2016

BILLIONEA MMOJA AFANYA KUFURU, AMZIKA MAMA YAKE NA GARI LA KIFAHARI AINA YA HUMMER NA MAMILIONI YA FEDHA...SOMA HAPA

Mnigeria mmoja amemzika mama yake kwa kutumia gari aina ya Hummer kama jeneza huku akimwekea noti za dollar za Marekani zaidi ya 10,000 ambazo ni kama millioni ishirini na kitu za Tanzaia.Gari moja aina ya Humemer kwa sasa ni zaidi ya millioni mita tano za Tanzania.Tukio hilo lilitokea eneo la Eguru kaskazini mwa Nigeria. Hii unaitazamaje? angalia pichahizo hapo chini kuona namna matanuzi yalivyokuwa.

Excess money or do we say so much love? A Nigerian billionaire (name withheld), based in Enugu recently buried his mother in a Hummer.

The moneybag used the sport utility vehicle instead of a traditional casket to bury his beloved mother.

He also splashed the car with over 10,000 dollars.




No comments:

Post a Comment

Featured post

MWANAMKE YAFUATE HAYA; NI MUHIMU KWA MAHUSIANO YAKO

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubu...